SMS ZA VICHEKESHO

29 comments:

  1. jamaa flani alienda kwenye kibanda cha mama ntilie akaagizia chipsi na mayai.
    mama ntilie wakati anamuekea akamuuliza"vipi nizichanganye???"
    jamaa kwa kujifanya anajua kiingereza akajibu"YEAH COMFUSE THEM.."

    ReplyDelete
    Replies
    1. Jamaa flan alienda kwenye kibanda cha mama ntilie akaagiza chips na mayai.Mama ntilie wakati anamuekea akamuuliza "vipi nizichanganye???"jamaa kwa kujifanya anajua kiingerza akajibu"YEAH COMFUSE THEM.."

      Delete
  2. Mmasai aliingia hotelin akakaa meza moja na mzungu,
    mzungu akaagizia fanta na mmasai akaagizia uji,mzungu akanywa akamaliza akainua chupa juu na kusema " FANTASTIC "
    Mmasai alijua mzungu anaisifia fanta na yeye akainua bakuli la uji juu na kusema " UJISTIC ."

    ReplyDelete
  3. Teja baada ya swaumu kuwa kali saa 6 mchana akaamua kupiga simu redion.

    Mtangazaji: unachagua wimbo gani?

    Teja: Adhana ili nifuturu.

    ReplyDelete
  4. I Can ask a question? How to extr rar file to iso???

    ReplyDelete
  5. Enter your comment...HAHAHAHAHAHAHA

    ReplyDelete
  6. 🙌🙌🙌🙌🙌🙌

    ReplyDelete
  7. Nataka kuweka window kwenye pc

    ReplyDelete